Working: Sun-Fri 08:00–17:00hrs

SQF Media · Listen anytime

Podcasts

Conversations on health, wellbeing and community — in plain language, on your favourite platform.

Shows 1 podcast
Available on Coming soon
Time zone UTC · 20:32 now

Afya Compass

4 episodes
Afya Compass artwork

Afya Compass ni podcast ya afya inayokuletea elimu ya afya kwa lugha rahisi ya Kiswahili, ikilenga kukuonyesha mwelekeo sahihi wa maisha yenye afya bora. Kupitia mazungumzo ya wazi, hadithi za maisha halisi, na ushauri wa vitendo, Afya Compass inagusa masuala ya lishe, afya ya akili, kinga ya magonjwa, mtindo wa maisha, na changamoto za kiafya zinazowakumba vijana na jamii kwa ujumla. Podcast hii inalenga kuvunja mitazamo potofu kuhusu afya, kueleza mambo magumu kwa njia rahisi, na kusaidia wasikilizaji kufanya maamuzi sahihi ya kiafya katika maisha ya kila siku.

Episodes

Choose an episode to watch it here.

4 episodes
SQF Podcasts · SQF Media
New episodes on every platform listed above